Hanipha maulid taharabu

Home About Contact. Jumatano, 29 Aprili Bendi yako uipendayo ya Dar Modern Taarab, leo wameingia mkataba na kampuni ya On point solution ya jijini Dar! Katika makubaliano hayo walikuwepo waimbaji wa bendi hiyo na wageni waalikwa kadhaa!

Kuanzia sasa Dar modern wanakujua na style yao mpya kabisa chini ya udhamini huo wa On point solution, na watatambulika kama Dar Modern Taarab au "Wana Modenika". Unknown 0. Jumapili, 26 Aprili Makala ya wiki Marcadores: Makala ya wiki. Alhamisi, 23 Aprili Bendi ya Five star's modern taarab chini ya mkurugenzi Ally J inatarajia kuingia Location kesho kumalizia kabisa albam yao ya "kichambo kinakuhusu" ambayo ina takribani nyimbo tano. Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi huyo alisema anamshukuru mungu kwani wamekuwa wakiendelea vyema yeye na wasanii wake, hakuna tatizo lolote na watakapomaliza shooting ya nyimbo zao wanatarajia kueleke nyanda za juu kusini mikoa ya iringa na mbeya, watakuwa na show takribani nne, baada ya hapo watarejea Dar kabla ya kuelekea mtwara na lindi kwa maonyesho zaidi, Pia alisema kuwa Bobo mautundu ambae alifanya video ya makavu live ya Hanifa maulid ndie ambae ataifanya kazi hiyo mpya ya five stars kwa albam ya kichambo kinakuhusu.

Kichambo kinakuhusu - Mariam B. Big up my dear - Mussa kijoti. Ubaya hauna soko - Mwanaida Ramadhan Mtandao wa ubuyuwataarabutz. Jumatano, 22 Aprili Jumanne, 21 Aprili Bendi yako uipendayo ya Gusagusa min bendi usiku wa jana jumanne imekwea pipa kuelekea uingereza kwa ajili ya kufanya show mbili kali na matata sana! Akizungumza na mtandao huu makini muandaaji wa show hizo mbili Didas Fashion mtanzania mwenye makazi yake nchini uingereza amesema maandalizi yote tayari yamekamilika na kilichokuwa kinasubiliwa ni kufika kwa Gusagusa min bendi nchini UK ili raha ziendelee.

Nae mkurugenzi wa bendi hiyo Hassan Farouk alisema anashukuru kuweza kufanikiwa kwenda kuipeperusha vyema bendera ya Gusagusa nchini uingereza na amewaomba wadau na wapenzi wa bendi hiyo waishio nchini humo kujitokeza kwa wingi katika maonyesho yao kwani wamejiandaa vyema na watapata kitu roho inapenda. Jumatatu, 20 Aprili Siku ya jana jumapili katika kipindi cha "ladha tamu" ndani ya E fm redio Prince mwinyijuma muumin au kocha wa dunia aliweka wazi yaliyopo moyoni mwake na kufanya umma wa wasikilizaji wa redio hiyo kuumizwa sana na maneno ya uchungu aliyokuwa akiyasema Muumin.

Sipendi sana kukumbukia hili tatizo maana limeshapita nami sasa nina mke mwingine ila imenilazimu kuweka wazi sababu wadau na wapenzi wangu walikuwa wananiuliza sana nini sababu iliyopelekea mimi kuyumba kimuziki mpaka kuwa kimya kidogo!. Vile vile nipo chini ya meneja wangu mpya Kais mussa kais au ukipenda muite mzee wa fitina mjini, huyu jamaa anajua sana kusimamia bendi au wasanii, kupitia yeye naamini wazi hakuna atakae nisogelea kimuziki hapa ni mbele kwa mbele tu, walioanza zamani nawaambia pisha mbele Muumin anakuja, sibahatishi nakuja kiupinzani zaidi.

Jumapili, 19 Aprili Jumamosi, 18 Aprili Ule wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa wa Mwinyijuma muumin kocha wa dunia kuweka bayana yale yanayo msibu katika mtima wake kwa siku nyingi umewadia, ni siku ya kesho jumapili ndani ya E FM REDIO katika kipindi cha taarab kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana. Akizungumza kwa kujiamini sana Muumin alisema siku ya kesho ndio jamii itajuwa nini na naanisha katika hili la kuweka wazi nilichonacho moyoni, ni muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuka juu ya hili jambo, ila yoyote kwa yote nawaomba wadau wangu tuwe sote ndani ya E FM kesho mapema saa nne asubuhi nitafunguka kila kitu.

hanipha maulid taharabu

Muumin anataka kuzungumza nini, mbona ameonekana ni msiri sana juu ya jambo hilo? Asia Idarous alisema onyesho hilo pia litakuwa ni la kila siku ya Jumapili katika ukumbi huo wa Hugo house, eneo lenye mazingira safi huku kiingilio kikiwa cha kawaida cha sh 5, tu!. Tumeamuakuhamisha onyesho hilo tokea safari canival kawe mpaka hapa Hugo house kinondoni kutokana maombi ya wateja walio wengi. Ijumaa, 17 Aprili Bendi inayokuja kwa kasi ya ajabu kwa sasa katika tasnia ya taarab nchini, Ogopa Kopa Classic chini yake malkia wa taarab bibie Khadija Omary Kopa siku ya leo ijumaa wanatarajia kushusha burudani ya nguvu katika ukumbi wa Shangilila Perugina uliopo mkoano Dodoma.

Akizungumza na mtandao huu muimbaji wa bendi hiyo ambae pia ni mtoto wa malkia wa mipasho nchini anaefahamika kwa jina la kisanii Black Kopa alisema bendi imeondoka leo asubuhi hapo Dar na tutakuwa na show tatu, ya kwanza ndio hiyo ya Dodoma mjini ambayo itakuwa leo ijumaa, ya pili na ya tatu zitafanyika singida na kondoa, baada ya hapo jumatatu ijayo bendi itarejea Dar ili kuendelea na maonyesho yetu ya kila wiki kama kawaida.Thabit Abdul akiongoza mazoezi ya nyimbo mpya jana.

Isha Mashauzi mazoezini jana. Aisha Othman Vuvuzela. Hashim Said "Mzee wa Majanga". Jumanne Ulaya "J Four" akipiga gitaa la solo. Saida Mashauzi akiimba mazoezini jana.

hanipha maulid taharabu

Saluti5 ilitembelea mazoezi ya kundi hilo jana na kukuta nyimbo hizo zikiwa katika hatua za mwisho kabla hawajaanza kugusa nyimbo nyingine. Nyimbo zote mbili ni utunzi wake Thabit Abdul. Kwa takriban wiki nzima kundi la Jahazi limekuwa mafichoni kurekodi video ya albam yao mpya ambapo kuanzia leo hii, ni zamu ya Mzee Yussuf kuingia kilingeni. Mzee Yussuf ameimbia mtandao wa Saluti5 kuwa kwa mara nyingine anakuja na mabadiliko mapya ndani ya video yake kama alivyofanya katika wimbo wake uliopita wa Mpenzi Chocolate.

Kwa hisani ya Saluti The screen masters Mmoja wa wakurugenzi wa kundi hilo, Thabit Abdul, ameiambia mtandao wa Saluti5 kuwa nyimbo hizo ni maandalizi ya albam yao ijayo. Thabit amesema wanakuja kivingine huku akiahidi kuwa safari hii nyimbo zao zitaleta mapinduzi makubwa kwenye muziki wa taarab, kuanzia upigaji pamoja na mpangilio wa mashairi.

Mazoezi hayo yanaendelea katika ngome yao Kinondoni Hananasif, jijini Dar se Salaam.

Fmcg importers in dubai

The screen masters. Mkurugenzi wa kundi hilo Hamis Slim alisisitiza kuwa kundi hilo si bendi ya kudumu bali mkusanyiko wa muda na kisha kila mtu ataendelea na bendi yake. Kutokana na tatizo hilo, Khadija Kopa sasa atalazimika kumalizia kiporo cha kazi iliyobakia leo mchana. HAKUWA mtu wa makuu na inawezekana wengi wakawa hawafamu uwezo wake wala sura yake …hakupenda kujikweza, lakini ni mtu mkubwa sana kwenye muziki wa taarab pengine kuliko yeyote unayemdhania wewe. Marehemu Lamania Shaaban.

Huyo ndie Lamania Shaaban aliyezikwa jana Tandika, Dar es Salaam huku akisindikizwa na mamia ya wasanii, wadau, ndugu, jamaa na marafiki waliopambwa na nyuso za huzuni.

Mwili wa Lamania aliyefariki juzi alfajiri ulipumzishwa katika nyumba yake ya milele majira ya saa saba za mchana. Safari ya makaburini. Mwili wa Lamania Shaaban ukiingizwa kaburini.

Mzee Yussuf ni kama haamini. Lamania aliyezaliwa mwakamwenyeji wa Zanzibar, alikuwa ndiye mkurugenzi wa muziki wa East African Melody huku akiitungia zaidi ya nyimbo 40 ikiwa ni pamoja na kupanga mashairi na kutia sauti.

Lakini pia hata nyimbo zilizotungwa na watu wengine bado zilipita kwenye dawati lake na kuzifanyia uhariri. Alikuwa hana mpinzani katika gitaa la solo ndani ya Melody. Alijiunga na East African Melody mwaka na kuanzia hapo akawa ni moja ya mihimili mikubwa ndani ya kundi hilo. Huku hayo yakijiri Akiongea na Saluti5 jana, Hanifa alisema alibahatika kuishi maisha ya ndoa na Lamania ikiwa ni pamoja na kuzaa nae mtoto mmoja wa kike.

Enzi hizo marehemu Lamania na Hanifa Maulid. Hanifa Maulid akiwa na mtoto wake Nasra Lamania. Amesema japo baadae aliachana na Lamania, lakini mtoto huyo Nasra Lamania ndiye kumbukumbu pekee aliyoachiwa na mume wake huyo wa zamani.

Nasra anayesoma darasa la kwanza anaungana na watoto wengine wanne wa Lamania kutoka kwa mama mwingine kuunda jumla ya watoto watano waliachwa na marehemu.Post a Comment. Habari za Kijamii,Michezo,Burudani na Siasa. Social Icons. Ndani ya mwaka huu mmoja tangu kuanzishwa kwake, Mashauzi Classic tayari ishahamwa na wasanii waanzilishi wasiopungua wanne, ambako kila anayeamua kuchomoka, huibua kashfa nzito, hususan kumwelekea Isha mwenyewe.

Umarex 40xp full auto mod

Wapo walioondoka kwa kudai kuwa wamechoshwa na ubinafsi, chuki, majungu na roho mbaya ndani ya kundi hilo, vinavyotiwa chumvi na Isha mwenyewe, huku wengine wakisema, wivu wa Isha kwa Thabit Abdul unawaweka katika wakati mgumu. Hawa alimtaka Isha athibitishe shutuma nyingi hizi na zile anazotupiwa na baadhi ya wasanii wanaohama Mashauzi Classic, ambako alitoa majibu yaliyojaa hekima za hali ya juu kiasi cha kunipa msukumo wa kumtafuta ili nipate maelezo ya kina kutoka kwake.

Isha anasema kuwa, mengi yanayovumishwa kila uchao juu yake yanakosa makali zaidi kutokana na yeye mwenyewe kuamua kukaa kimya bila kujibu, ambako anadai usipiomjibu mtu tayari umemwambia anyamaze. Anasema, kinachomsikitisha zaidi na zaidi ni kuona kuwa, wote wanaomzushia kashfa na shutuma hizo ni wale chipukizi ambao. Kwa namna hii ama ile, nguvu zake zimetumika ipasavyo kuwafikisha hapo walipo sasa.

Anazidi kusema kuwa, kwa upande wake anaona kuwa si vema kwa wasanii wanaochipukia katika muziki kujiingiza katika utamaduni wa kutafuta umaarufu kwa nguvu na badala yake wajibidiishe jukwaani kupitia vipaji walivyonavyo.

Caravan canvas

Anasema, anashangaa kuona kuwa, imekuwa ni desturi kubwa kwa wasanii wengi hapa nchini, hususan chipukizi wanapotoka kundi moja kwenda jingine, kuanzisha chuki kati yao na kundi walilohama. Anasema kuwa, jambo analopaswa kulizingatia msanii ni jinsi atakavyoweza kusimama jukwaani kuimba na kumudu kuwanyanyua vitini japo mashabiki watano, na si kutafuta umaarufu kupitia migongano isiyona msingi.

Kuhusiana na suala la kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Thabit, Isha anasema kuwa alishakataa mara nyingi na ataendelea kukataa siku zote, huku akiweka wazi kuwa uhusiano wake na Thabit unaishia kwenye muziki pekee. Hata hivyo, Isha anasema kuwa, yote yanayosemwa kwa nia mbaya kwake, yanampa ari, kasi pamoja na nguvu ya kujituma na kujibidiisha zaidi jukwaani ili kuhakikisha kuwa, malengo ya wasiopenda maendeleo yake hayatimii kirahisi. Miongoni mwa wasanii waliohama Mashauzi Classic, ambao kwa nyakati tofauti hivi karibuni wamekuwa wakinukuliwa mara kwa mara na vyombo mbalimbali vya habari wakirusha makombora kwa Isha ni pamoja na Rahma Machupa, Zainab Machupa, Ashura Machupa na Hanifa Maulid.

Mwandishi: Khadija Kalili at PM. No comments:.

hanipha maulid taharabu

Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Blog Rafiki. Bora useme usaidiwe kuliko kufa na tai shingoni. Wazalendo 25 Blog. Matukio : Waziri, Dk. Kigwangalla afuturisha wabunge Dodoma, asisitiza Upendo, Umoja na Mshikamano wa kitaifa. Popular Posts. Picha za msanii wa Bongo flava Ney wa mitego mwenye maneno ya shombo kwa wasanii wenzake kuhusu ukahaba wa wasanii wa bongo movie zimen Baada ya Khanga Moja sasa zamu ya Baikoko. Powered by Blogger.

Labels bongoweekend. COM www.Formerly celebrated Taarab singer Maulid Juma has lived a life of disparity to a point he just wants to die and be forgotten. The musician said he is tired of living in abject poverty and would give anything to be buried alive. Photo: NTV. The musician further said his art has not served him and always expected his life would be better by now. He was a star whose voice was good enough to soothe a baby to sleep and calm a broken heart.

His fans would often sneak into weddings just to listen to his melodious voice be in sync with the rhythm of the beat. Maulid reminisced how he sang for the likes of former presidents Daniel Moi and Mwai Kibaki and wrote songs for the likes of Governor Mike Sonko.

Do you have a groundbreaking story you would like us to publish? Please reach us through news tuko. Contact Tuko. Edgar Obare is not sorry for exposing celebrities Tuko TV. Venessa Nyasio. Subscribe to watch new videos.

hanipha maulid taharabu

Read more. Microsoft may earn an Affiliate Commission if you purchase something through recommended links in this article. Did you find the story interesting? Like us on Facebook to see similar stories. I'm already a fan, don't show this again. Send MSN Feedback. How can we improve?

Chirurgia vascolare

Please give an overall site rating:. Privacy Statement.Binti wa Kitanga. Marchi mbili mwaka huu, wapenzi wa muziki wa taarab nchini wanaisubiria kwa hamu hususan wale wanaoingia katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala.

Mpapano huo umepangwa kufanyika katika ukumbi huo na kila mtu hivi sasa anazungumzia mpambano huo. Posted by www. Wema kuendeleza raha nje ya nchi. MSANII mkali katika tasnia ya maigioz nchini ambae pia ni mlimbwende wa Tanzania mwak ,Wema Sepetu ameamua kufanya vitu vikali nje ya tanzania baada ya kupata pesa kutokanana na kazi yake ya kuigiza inayozidi kumuuzia jina. Mashujaa band kujinoa na vifaa vipya. KUNDI la Mashujaa Music linatarajia kuingiza kambini wanenguaji wake kwa ajili ya kujifua mtindo mpya kwa ajili ya kupagawisha katika maonyesho yao ndani ya kipindi hiki.

Akizungumza na starehe meneja wa bendi hiyo Max Luhanga anasema lengo la kuingia kambini ni kujipanga katika kuimarisha bendi na kujiweka sawa. Anasema katika kuimarisha bendi ikiwa na kujipanga na kutaka kuonyesha umairi katika jukwaa kulingani na ushindani uliopo kwa sasa.

TSJ kutoa mmoja Miss Tanzania Hanifa Maulid kutema cheche Kings Modern taarab. BAADA ya kutamba katika tasnia ya muziki wa taarabu kundi la Mashauzi Classic limekuwa likiongoza kwa wasanii wamekuwa wakihama kundi hilo huku wakinukuliwa mara kwa mara na vyombo kwa kirusha makombora kwa muimbaji kindawa kundi hilo Isha Ramadhani Hadi sasa kundi hilo limeshapoteza wasanii kama Rahma Machupa, Zainab Machupa, Ashura Machupa na Hanifa Maulid ambao wamehama katika makundi mbalimbali ya muziki.

Mmoja kati ya wasanii aliyehamia katika kundi la Kings Modern taarab ambaye kwa kipindi cha nyuma alikuwa akifanya vizuri katika kundi la Mashauzi ,Hanifa Maulid anasema ameamua kuondoka Mashauzi Classic kutokana na kukosa uhuru katika kazi. Anasema nimeondoka mashauzi bila kufukuzwa ila nimeondoka na kutokana na kuonekana kwa makosa katika suala la uimbaji hali iliyokuwa nikionekana kama nafanya makusudi.

Anasema kutokana na kujua umuhimu w kazi yake amewahidi wshabiki wa muziki wa taarabu kuendelea kuwapa burudani kama kawaida yake. Mashauzi kazini.

Download lagu HANIFA MAULID MAKAVU LIVE official video Mp3

Wanne wachomoka Mashauzi Classic. Mwandishi wetu BAADA ya wasanii wa muziki kuhama hama katika makundi yao walionza nayo kazi taswira imebadilika sasa katika kundi la Mashauzi Classic kuonokewa na wasanii wanne, ambako kila anayeamua kuchomoka, huibua kashfa nzito, hususan kumwelekea Isha mwenyewe.

Wapo walioondoka kwa kudai kuwa wamechoshwa na ubinafsi, chuki, majungu na roho mbaya ndani ya kundi hilo, vinavyotiwa chumvi na Isha mwenyewe, huku wengine wakisema, wivu wa Isha kwa Thabit Abdul unawaweka katika wakati mgumu.

Wiki iliyopita nilibahatika kumtazama Isha alipokuwa Isha athibitishe shutuma nyingi hizi na zile anazotupiwa na baadhi ya wasanii wanaohama Mashauzi Classic, ambako alitoa majibu yaliyojaa hekima za hali ya juu kiasi cha kunipa msukumo wa kumtafuta ili nipate maelezo ya kina kutoka kwake. Isha anasema kuwa, mengi yanayovumishwa kila uchao juu yake yanakosa makali zaidi kutokana na yeye mwenyewe kuamua kukaa kimya bila kujibu, ambako anadai usipiomjibu mtu tayari umemwambia anyamaze.

Anasema, kinachomsikitisha zaidi na zaidi ni kuona kuwa, wote wanaomzushia kashfa na shutuma hizo ni wale chipukizi ambao. Kwa namna hii ama ile, nguvu zake zimetumika ipasavyo kuwafikisha hapo walipo sasa. Anazidi kusema kuwa, kwa upande wake anaona kuwa si vema kwa wasanii wanaochipukia katika muziki kujiingiza katika utamaduni wa kutafuta umaarufu kwa nguvu na badala yake wajibidiishe jukwaani kupitia vipaji walivyonavyo.

Mozzarella : le diverse varietà

Anasema, anashangaa kuona kuwa, imekuwa ni desturi kubwa kwa wasanii wengi hapa nchini, hususan chipukizi wanapotoka kundi moja kwenda jingine, kuanzisha chuki kati yao na kundi walilohama. Anasema kuwa, jambo analopaswa kulizingatia msanii ni jinsi atakavyoweza kusimama jukwaani kuimba na kumudu kuwanyanyua vitini japo mashabiki watano, na si kutafuta umaarufu kupitia migongano isiyona msingi.

Kuhusiana na suala la kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Thabit, Isha anasema kuwa alishakataa mara nyingi na ataendelea kukataa siku zote, huku akiweka wazi kuwa uhusiano wake na Thabit unaishia kwenye muziki pekee. Hata hivyo, Isha anasema kuwa, yote yanayosemwa kwa nia mbaya kwake, yanampa ari, kasi pamoja na nguvu ya kujituma na kujibidiisha zaidi jukwaani ili kuhakikisha kuwa, malengo ya wasiopenda maendeleo yake hayatimii kirahisi.

Jenipher kutoka na Dhahabu Ulinipa sauti na nyinginezo ambazo zilitamba miaka ya na kurudi nyuma hadi mwaka Post a Comment. HAKUWA mtu wa makuu na inawezekana wengi wakawa hawafamu uwezo wake wala sura yake …hakupenda kujikweza, lakini ni mtu mkubwa sana kwenye muziki wa taarab pengine kuliko yeyote unayemdhania wewe. Marehemu Lamania Shaaban. Huyo ndie Lamania Shaaban aliyezikwa jana Tandika, Dar es Salaam huku akisindikizwa na mamia ya wasanii, wadau, ndugu, jamaa na marafiki waliopambwa na nyuso za huzuni.

Mwili wa Lamania aliyefariki juzi alfajiri ulipumzishwa katika nyumba yake ya milele majira ya saa saba za mchana. Safari ya makaburini. Mwili wa Lamania Shaaban ukiingizwa kaburini. Mzee Yussuf ni kama haamini. Lamania aliyezaliwa mwakamwenyeji wa Zanzibar, alikuwa ndiye mkurugenzi wa muziki wa East African Melody huku akiitungia zaidi ya nyimbo 40 ikiwa ni pamoja na kupanga mashairi na kutia sauti.

Lakini pia hata nyimbo zilizotungwa na watu wengine bado zilipita kwenye dawati lake na kuzifanyia uhariri. Alikuwa hana mpinzani katika gitaa la solo ndani ya Melody.

Alijiunga na East African Melody mwaka na kuanzia hapo akawa ni moja ya mihimili mikubwa ndani ya kundi hilo.

Mshayasema Kimeniathiri Nini

Huku hayo yakijiri Akiongea na Saluti5 jana, Hanifa alisema alibahatika kuishi maisha ya ndoa na Lamania ikiwa ni pamoja na kuzaa nae mtoto mmoja wa kike.

Enzi hizo marehemu Lamania na Hanifa Maulid. Hanifa Maulid akiwa na mtoto wake Nasra Lamania. Amesema japo baadae aliachana na Lamania, lakini mtoto huyo Nasra Lamania ndiye kumbukumbu pekee aliyoachiwa na mume wake huyo wa zamani. Nasra anayesoma darasa la kwanza anaungana na watoto wengine wanne wa Lamania kutoka kwa mama mwingine kuunda jumla ya watoto watano waliachwa na marehemu. Kwa hisani ya saluti The screen masters. No comments:. Newer Post Older Post Home.

Subscribe to: Post Comments Atom.Formerly celebrated Taarab singer Maulid Juma has lived a life of disparity to a point he just wants to die and be forgotten. The musician said he is tired of living in abject poverty and would give anything to be buried alive. The musician further said his art has not served him and always expected his life would be better by now.

Native roots extracts n

He was a star whose voice was good enough to soothe a baby to sleep and calm a broken heart. His fans would often sneak into weddings just to listen to his melodious voice be in sync with the rhythm of the beat. Maulid reminisced how he sang for the likes of former presidents Daniel Moi and Mwai Kibaki and wrote songs for the likes of Governor Mike Sonko. In other news, a Tanzanian cafe called the Neema Cafe has surfaced with an amazing attribute of employing only deaf people as the staff serving as waiters, waitresses, and chefs.

A video sighted by YEN.

Ishu Pambe Hanifa Maulidi

Enjoy reading our stories? Get interactive via our Facebook page. Subscribe to watch new videos. Hot: Private secondary schools in ghana Interpay.

Show Comments. Apple releases list of iPhone models that are obsolete in


thoughts on “Hanipha maulid taharabu”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *